MKATOLIKI KIGANJANI | JEROME MASSAWE| August 07, 2018 SALA No comments SALA YA KUWAOMBEA WATU. Mungu wangu, nawaombea watu wa nchi hii, wapate kusikia maneno yako na kukupenda wewe Bwana Mungu wetu. Kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 maoni:
Post a Comment