Mtakatifu Getrudi Mkuu MKATOLIKI KIGANJANI | JEROME MASSAWE| October 07, 2017 WATAKATIFU No comments Mtakatifu Getrudi Mkuu Mtakatifu Getrudi Mkuu Mtakatifu Gertrudi (au Getrudi Mkuu) wa monasteri ya Helfta (1256 – 17 Novemba 1301) alikuwa mmonaki wa kike nchini Ujerumani.Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu kama bikira. Sikukuu yake ni 16 Novemba. Share: Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 maoni:
Post a Comment