TUSALI KWA BIDII ILI TUPATE
AMANI DUNIANI ,MAMA YETU
ATUAMBIA.
MARIA MAMA YETU
UTUOMBEE DAIMA WANAO.
ASANTE MAMA MARIA
KWA MOYO WAKO WA
HURUMA.
MAMA MARIA NASEMA
ASANTE KWA SALA ZAKO
KWETU WANAO.
MAMA MARIA MOYO WAKO
UMEJAA UPENDO TUSAIDIE
WANAO KUWA NA MOYO WA
UPENDO HASA KIPINDI HIKI
AMBAPO WATU WAMEMWACHA
MUNGU ALIYE HAI.
TUSALI ROZARI MARA NYINGI
MAMA YETU ATUAMBIA.
MAMA MARIA ALIPATA
MATESO MAKALI MOYONI
WAKATI BWANA AKITESWA
MBELE YAKE ! TUACHE UOVU
ILI TUSIENDELEE KUMSONONESHA
MAMA YETU MPENDWA.
DAIMA TUNASIKILIZA MAELEZO
YAKO MAMA YETU.
VIONGOZI WETU WAKUU
WA KANISA WAKUSIKILIZA
MAMA YETU.
UNYENYEKEVU NI MWANZO
WA HEKIMA NA BUSARA.
DAIMA TUTAKUWA NAWE
MAMA YETU.
0 maoni:
Post a Comment